TVS King fans led TVS King Sports Club convoy to the football ground at Nkana RED (DOGO AKIDA akiwa mbele ya msafara kuelekea uwanjani kiukweli mambo yalikuwa mazuri sana)
A representative from Car&General Trading Ltd (Mr Masanja) convey greetings from C&G HQ to fooball funs at Nkana Red Grounds.(Hapa ni ndugu JONATHAN MASANJA kutoka car &General Trading akiteta jambo na wanaMtwara waliokuja kushuhudia fainali za kombe la TVS KING CUP mgeni rasmi akiwa RTO wa mkoa wa Mtwara)
The guest of honor from District Commanding Officer of Police, who is in-charge of Traffic greeted the teams before the game for final TVS KING CUP started.(Mgeni rasmi akikagua timu kabla ya mchezo kuanza
Viongozi pamoja na wachezazi wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza)
The final foot match btn Bodaboda Ligula VS Cosmo FC( mpira ukiwa unaendelea)
Prizes displayed on the high table waiting for the winner. (Kombe na ngao vikiwa vimeshatayarishwa kumsubiri mshindi atakaye shinda)
Masanja from C&G Trading Ltd call the teams,to receive their PRIZES.(Ndugu Jonathan Masanja akiwa anatoa utaratibu mzima wa kutoa zawadi mara tu baada ya mchezo kumalizika ambapo mshindi alikuwa cosmo fc baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati dhidi ya Boda boda ligula)
TVS Sports Club in read t-shirts(3rd winners ) took a group photo with Guest of honor together, C&G tranding limited representative with Staff from Compass Enterprises Limited.(RTO wa wilaya wa wilaya ya Mtwara katika picha ya pamoja na washindi watu ambao ni TVS KING FC kabla ya kuwakabidhi ngao ya ushindi)
Mr Jonathan, announced the winner of TVS King Sports Club a qualified team for a 3rd position. He got Ngao and one hundred thousand shillings as a prize for a 3rd winner.(Jonathan Masanja akiwapongeza wachezaji wa TVS KING CUP kwa kuwa katika nafasi nzuri ya mashindano hayo licha ya kuwa hawakuwa na muda mzuri wa kufanya mazoezi sababu ya mazingira ya kazi zao
Boda Boda Ligula, in jovial moody won a TVS KING CUP as a second winner. (Wachezaji wa timu ya Boda boda ligula wakiwa nafuraha tele baada ya kujinyakulia kombe mara baada ya mechi kuisha.Boda boda ligula walishika nafasi ya pili hivyo basi kulingana na kanuni na taratibu za mchezo timu alikwa ikishinda ipewe pesa bila kikombe kwahiyo kombe akapewa mshindi wa pili ambao ni boda boda ligula0
The guest of honor from District Commanding Officer of Police, who is the in-charge of Traffic gave his remarks to football fans and three wheeler drivers to observe road safety regulations to reduce accident in the district.(Hapa mgeni rasmi R.T.O wa mkoa wa mtwara akitoa nasaha zake kwa waendesha vyombo vya moto kiukweli mashindano yalikuwa mazuri maana yalileta hamasa kubwa kwa wananchi wa mtwara)
Representatives from C&G trading Limited conducted training to Compass Enterprises Limited staff.The training targeted more sales for units, spares and services(Mara baada ya mashindano hayo kumalizika Jonathan Masanja pamoja na ndugu John walitoa mafunzo kwa kwa wafanyakazi wa kampuni ya compass enterprises ltd jinsi gani wanaweza kufanya kazi kwa ufanisi na wateja wao kukubali kazi wanazozifanya)
Compass Staff listen Mr Masanja during training, (Ndugu Jonathan akielekeza jinsi ya kutumia database ambayo inamuwezesha mfanya biashara kuwa makini katika kufanya kazi na kuifanya biashara kukua zaidi)
Parking centre leaders of three wheelers from Mtwara Municipality, attended a meeting which was organised by Compass for C&G Trading Ltd to discuss how strengthen business relations between C&G, Compass Enterprises Limited and Three wheeler leaders. And birth of establishment of three wheeler Group or Society was introduces by Mr Masanja from C&G. ( Mafunzo haya kuishia tu kwa wafanya kazi wa compass enterprises ltd bali timu iliyotoka car &general iliwaita wenye viti wote wa vituo ya wandesha pikipiki za magurudumu matatu nakuto maelekezo jinsi gani wanaweza kufanya kazi kwa pamoja na kwa ushirikiano ili kudumisha umoja na mshikamano katika makundi yao)
Masanja emphasized a point during a meeting with TVS KING leaders.(Viongozi wa vikundi hivyo vya waendesha pikipiki za magurudumu matatu wakimsikiliza ndugu Jonathan Masanja kwa umakini wa hali ya juu sana)
A group photo after the meeting with three wheeler leaders, with Compass employees.Mara baada ya mkutano kuisha walipiga picha ya pamoja kuonyesha umoja na mshikamano katatika mkutano huo
A group photo for Compass staff, C&G representative and TVS KING leaders.(Compass an enterprises ltd katika picha ya pamoja na viongozi wa vikundi vya madereva pamoja na viongozi kutoka car&General trading)
A group photo after lounging of a workshop for TVS KING services, this makes Compass to operates under all 3S- Sales, Service and Spares ( Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Gereji ya compass enterprises ltd)
A group photo TVS King staff with representatives from C&G Trading Limited.(Baada ya mafunzo kuisha compass enterprises ltd walipiga picha ya pamoja na wageni wao kutoka car&genera trading)
nimeipenda video
ReplyDelete