JIPATIE TVS STAR HLX CHOMBO KWA PUNGUZO KUBWA LA BEI KUTOKA KWENYE KAMPUNI YA COMPASS ENTERPRISES LTD.
BEI YA PUNGUZO 2050000/= AWALI ILIKUWA INAUZWA 2,250,000/=
COMPASS ENTERPRISES LTD
WAUZAJI WA PIKI PIKI ZA MIGUU MITATU AINA YA TVS KING PAMOJA NA SPEA ZAKE KWA MTWARA MIKINDANI NA WILAYANI PAMOJA VIJIJINI
Thursday, November 17, 2016
Monday, November 3, 2014
COMPASS ENTERPRISES LTD INAPENDA KUWAFAHAMISHA BIDHAA MPYA YA TVS STAR HLX 125 PIKIPIKI YA MATAIRI MAWILI YENYE UBORA NA MATUMIZI KIDOGO YA MAFUTA
NIKIWA NA TVS STAR HLX 125 YENYE ENGINE YENYE NGUVU NA IMARA KWA SAFARI NDEFU NA SALAMA KWA KUTUMIA MAFUTA KIDOGO 70KM KW 1 LITA
KARIBUNI COMPASS ENTERPRISES LTD JIPATIE PIKIPIKI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBEBA MZIGO MPAKA 260KG SHOKAP IMARA KITI KIKUBWA INAUWEZO WA KUBEBA ABIRIA ZAIDI YA WAWILI
KARIBU COMPASS ENTERPRISES LTD KWA HUDUMA BORA NA ZA UHAKIKA KABISA

Thursday, April 24, 2014
KWA MARA NYINGINE COMPASS ENTERPRISES LTD ILIYOPO MTWARA MADUKA MAKUBWA INAPENDA KUWATAARIFU WATEJA WAKE KWAMBA TVS ZIMEFIKA ZIKIWA NA MIKANDA KWA AJILI YA USALAMA ZAIDI KWA DEREVA WA CHOMBO PAMOJA NA WATEJA WAKE KWA MATOKEO YA PICHA TAZAMA HAPA CHINI
HAPA MTEJA WETU AKIWA AMETOKA OFISI ZA COMPASS ENTERPRISES LTD KUNUNUA TVS KING
HAPO NI BAADA YA MTEJA MWINGINE KUTOKEA OFFICE ZA COMPASS ENTERPRISES LTD .SAFIRI SALAMA UKIWA NA TVS KING CHOMBO IMARA
HAPO NI FUNDI WA COMPASS ENTERPRISES LTD AKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUHAKIKISHA KILA TVS INAKUWA NA MIKANDA KWA MAANA KWAMBA ANATOBOA MATUNDU NA KUFUNGA MIKANDA HIYO
Monday, April 7, 2014
KUWA WA KWANZA KUTUMIA TVS KING YENYE MIKANDA KWA USALAMA WAKO BINAFSI
TUMEAMUA KUBORESHA USAFIRI WA TVS KING KWA SASA UNAZIDI KUENDESHA KAMA MFALME TUMEKUWEKEA MIKANDA KWA AJILI YA USALAMA WAKATI UNAENDESHA CHEKI PICHA
HAPA NI ABIRIA WAKIWA WAMEFUNGA MIKANDA TAYARI KWA SAFARI
ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA MZURI KUTOKA TVS KING WAKIWA NA WAKALA WAO WA MKOA WA MTWARA AMBAO NI COMPASS ENTERPRISES LIMITED
BILA KUSAHAU COMPASS WANAPENDA KUWAKARIBISHA WATEJA WAKE KUFANYA MATENGENEZO YA TVS KING ZAO KWA BEI NAFUU KABISA
HAPA NIKIWA LINDI KWA AJILI YA KUWATEMBELEA WADAU WANGU WA KUU WA TVS KING PAMOJA NA KUCHUKUA CHANGAMOTO WANAZOKUMBANA NAZO KWENYE USAFIRI WA TVS KING
MKOA WA LINDI MAENEO YA SOKO KUU
COMPASS ENTERPRISES KAMA KAWAIDA SIKUZOTE NI KUMJALI MTEJA NA KAMA UNACHANGAMOTO YOYOTE UMEWAHI KUKUMBANA NAYO OFISINI KWETU ACHA MAONI YAKO CHINI HAPO HALAFU TUTAYAFANYIA KAZI MARAMOJA

Friday, February 28, 2014
KAMA KAWAIDA MZIGO UMEINGIA KAZI KWAKO MTEJA KARIBU COMPASS KWA HUDUMA BORA NA ZA UHAKIKA
HAPA WATEJA WETU WAKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUCHAGUA RANGI YA TVS WANAYOIPENDA
WAHI SASA KUJIPATIA BIDHAA BORA YA TVS KING KUTOKA COMPASS ENTERPRISES LTD
HAPA NI KATIKA HARAKATI ZA KUSHUSHA TVS KING NDANI YA GARI
KIUKWELI TVS KING ZIPO ZA KUTOSHA NIWEWE TU KUJA COMPASS ENTERPRISES LTD KUTOA ODA YAKO AU KUNUNUA ZINAPOKUWEPO DUKANI KWETU
MKURUGENZI MSAIDIZI WA COMPASS ENTERPRISES LTD KATIKA PICHA
HAPA NI NDANI YA OFFISI ZA COMPASS ENTERPRISES LTD KARIBUNI SANA

Thursday, November 28, 2013
TVS King sports club with their fans proceeding to the football ground pitch for final game and to receive their prize as third winner - TVS KING CUP.(MASHINDANO YA TVS KING YAMEMALIZIKA LEO TAREHE 28/11/2013 VIDEO TVS KING WAKIELEKEA KIWANJANI KUSHUHUDIA FAINALI WAKIWA KAMA WASHINDI WA TATU)
TVS King fans led TVS King Sports Club convoy to the football ground at Nkana RED (DOGO AKIDA akiwa mbele ya msafara kuelekea uwanjani kiukweli mambo yalikuwa mazuri sana)
A representative from Car&General Trading Ltd (Mr Masanja) convey greetings from C&G HQ to fooball funs at Nkana Red Grounds.(Hapa ni ndugu JONATHAN MASANJA kutoka car &General Trading akiteta jambo na wanaMtwara waliokuja kushuhudia fainali za kombe la TVS KING CUP mgeni rasmi akiwa RTO wa mkoa wa Mtwara)
The guest of honor from District Commanding Officer of Police, who is in-charge of Traffic greeted the teams before the game for final TVS KING CUP started.(Mgeni rasmi akikagua timu kabla ya mchezo kuanza
Viongozi pamoja na wachezazi wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza)
The final foot match btn Bodaboda Ligula VS Cosmo FC( mpira ukiwa unaendelea)
Prizes displayed on the high table waiting for the winner. (Kombe na ngao vikiwa vimeshatayarishwa kumsubiri mshindi atakaye shinda)
Masanja from C&G Trading Ltd call the teams,to receive their PRIZES.(Ndugu Jonathan Masanja akiwa anatoa utaratibu mzima wa kutoa zawadi mara tu baada ya mchezo kumalizika ambapo mshindi alikuwa cosmo fc baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati dhidi ya Boda boda ligula)
TVS Sports Club in read t-shirts(3rd winners ) took a group photo with Guest of honor together, C&G tranding limited representative with Staff from Compass Enterprises Limited.(RTO wa wilaya wa wilaya ya Mtwara katika picha ya pamoja na washindi watu ambao ni TVS KING FC kabla ya kuwakabidhi ngao ya ushindi)
Mr Jonathan, announced the winner of TVS King Sports Club a qualified team for a 3rd position. He got Ngao and one hundred thousand shillings as a prize for a 3rd winner.(Jonathan Masanja akiwapongeza wachezaji wa TVS KING CUP kwa kuwa katika nafasi nzuri ya mashindano hayo licha ya kuwa hawakuwa na muda mzuri wa kufanya mazoezi sababu ya mazingira ya kazi zao
Boda Boda Ligula, in jovial moody won a TVS KING CUP as a second winner. (Wachezaji wa timu ya Boda boda ligula wakiwa nafuraha tele baada ya kujinyakulia kombe mara baada ya mechi kuisha.Boda boda ligula walishika nafasi ya pili hivyo basi kulingana na kanuni na taratibu za mchezo timu alikwa ikishinda ipewe pesa bila kikombe kwahiyo kombe akapewa mshindi wa pili ambao ni boda boda ligula0
The guest of honor from District Commanding Officer of Police, who is the in-charge of Traffic gave his remarks to football fans and three wheeler drivers to observe road safety regulations to reduce accident in the district.(Hapa mgeni rasmi R.T.O wa mkoa wa mtwara akitoa nasaha zake kwa waendesha vyombo vya moto kiukweli mashindano yalikuwa mazuri maana yalileta hamasa kubwa kwa wananchi wa mtwara)
Representatives from C&G trading Limited conducted training to Compass Enterprises Limited staff.The training targeted more sales for units, spares and services(Mara baada ya mashindano hayo kumalizika Jonathan Masanja pamoja na ndugu John walitoa mafunzo kwa kwa wafanyakazi wa kampuni ya compass enterprises ltd jinsi gani wanaweza kufanya kazi kwa ufanisi na wateja wao kukubali kazi wanazozifanya)
Compass Staff listen Mr Masanja during training, (Ndugu Jonathan akielekeza jinsi ya kutumia database ambayo inamuwezesha mfanya biashara kuwa makini katika kufanya kazi na kuifanya biashara kukua zaidi)
Parking centre leaders of three wheelers from Mtwara Municipality, attended a meeting which was organised by Compass for C&G Trading Ltd to discuss how strengthen business relations between C&G, Compass Enterprises Limited and Three wheeler leaders. And birth of establishment of three wheeler Group or Society was introduces by Mr Masanja from C&G. ( Mafunzo haya kuishia tu kwa wafanya kazi wa compass enterprises ltd bali timu iliyotoka car &general iliwaita wenye viti wote wa vituo ya wandesha pikipiki za magurudumu matatu nakuto maelekezo jinsi gani wanaweza kufanya kazi kwa pamoja na kwa ushirikiano ili kudumisha umoja na mshikamano katika makundi yao)
Masanja emphasized a point during a meeting with TVS KING leaders.(Viongozi wa vikundi hivyo vya waendesha pikipiki za magurudumu matatu wakimsikiliza ndugu Jonathan Masanja kwa umakini wa hali ya juu sana)
A group photo after the meeting with three wheeler leaders, with Compass employees.Mara baada ya mkutano kuisha walipiga picha ya pamoja kuonyesha umoja na mshikamano katatika mkutano huo
A group photo for Compass staff, C&G representative and TVS KING leaders.(Compass an enterprises ltd katika picha ya pamoja na viongozi wa vikundi vya madereva pamoja na viongozi kutoka car&General trading)
A group photo after lounging of a workshop for TVS KING services, this makes Compass to operates under all 3S- Sales, Service and Spares ( Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Gereji ya compass enterprises ltd)
A group photo TVS King staff with representatives from C&G Trading Limited.(Baada ya mafunzo kuisha compass enterprises ltd walipiga picha ya pamoja na wageni wao kutoka car&genera trading)
Saturday, November 23, 2013
PICHA ZA MECHI KATI YA TVS KING F.C VS COSMO SPORTS CLUB-TVS KING CUP
Mtoto shabiki wa TVS King FC akipeperusha bendera ya timu yake - ktk uwanja wa Chikongola
Golikipa timu ya Cosmo akidaka mpira-wakati Cosmo ilipocheza na TVS KING FC-walifungana 1-1
TVS KING FC wakijiandaa kuzuia faulu katika lango lao
Mashabiki lukuki wa TVS KING FC wakishangilia bao la kwanza lililopatikana kipindi cha pili, hata hivyo lilirudishwa na wapinzani wao COSMO muda mfupi kabla mpira kwisha.
Timu ya mafundi TVS, boda boda VS Boda Boda Ligula wakipambana kuwania kombe la TVS KING-katika uwanja wa NKANA RED
Timu ya Mafundi VS Boda Ligula katika mpambano - mafundi walifungwa bao 5-1

Subscribe to:
Posts (Atom)